Jiunge na Jopo la Utafiti la NHK WORLD-JAPAN

Tusaidie kuboresha maudhui katika lugha yako!

NHK WORLD-JAPAN inatafuta wanachama wanaoweza kushiriki katika tafiti mbalimbali mtandaoni.

NHK WORLD-JAPAN

Utaombwa utoe maoni yako kuhusu habari, vipindi na maudhui yetu ya mtandaoni.

JIPATIE ZAWADI KWA KUKAMILISHA TAFITI

Badilisha zawadi zako upewe kadi za zawadi, vocha au uchangie shirika la kutoa misaada.

MAONI YAKO

Yatatumiwa kuboresha maudhui ya NHK WORLD-JAPAN.

DATA YAKO YA BINAFSI

Data yote ya binafsi unayotoa inadhibitiwa kwa umakini mkubwa na shirika la Syno International, Inc. kwa mujibu wa Sera yake ya Faragha.

Data yako ya binafsi inaweza kupeanwa kwa madhumuni ya kutumiwa na Jopo la Utafiti la NHK WORLD_JAPAN na kuendesha tafiti katika mashirika yafuatayo: NHK, NHK International Inc., na Kituo cha Utafiti cha Nippon. Wadau wote wanaohusika wanajitolea kulinda data yako ya binafsi kwa mujibu wa sheria inayotumika.

Utapokea uthibitisho kwenye anwani ya barua pepe uliyojaza; tafadhali kamilisha usajili ukifuata maelekezo kwenye barua pepe.

Ukishajisajili, utaombwa ushiriki katika tafiti kutoka makampuni na mashirika mengine ya utafiti wa masoko, pamoja na tafiti kutoka NHK WORLD-JAPAN.

Kwa kusajili, nakubaliana na maneno yaliyoelezwa kwenye ukurasa huu.